\v=26 \v~=Mtakuwa watakatifu kwangu, kwa sababu Mimi, \nd Bwana\nd*, ni mtakatifu, nami nimewatenga kutoka mataifa kuwa wangu mwenyewe. \¬v \¬p