\v=6 \v~=Lazima wawe watakatifu kwa Mungu wao, na kamwe wasilinajisi jina la Mungu wao. Kwa sababu ndio wanaotoa sadaka za kuteketezwa kwa moto kwa \nd Bwana\nd*, chakula cha Mungu wao, hivyo lazima wawe watakatifu. \¬v \¬p