\v=8 \v~=Waoneni kuwa watakatifu, kwa sababu ndio wanaotoa chakula cha Mungu wenu. Kumbukeni kuwa ni watakatifu, kwa sababu Mimi \nd Bwana\nd* ni mtakatifu, Mimi niwafanyaye ninyi kuwa watakatifu. \¬v \¬p