\v=18 \v~=“Sema na Aroni na wanawe, na Waisraeli wote uwaambie: ‘Ikiwa mmoja wenu, aliye Mwisraeli au mgeni anayeishi katika nchi ya Israeli, atatoa matoleo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa moto kwa \nd Bwana\nd*, iwe kutimiza nadhiri au kuwa sadaka ya hiari, \¬v