\v=21 \v~=Mtu yeyote aletapo sadaka ya amani kwa \nd Bwana\nd* kutoka kundi la ngʼombe au mbuzi ili kutimiza nadhiri maalum au sadaka ya hiari, lazima sadaka hiyo isiwe na dosari au waa ili ikubalike. \¬v