\p \v=3 \v~=“Waambie: ‘Katika vizazi vijavyo, ikiwa yeyote wa wazao wako ni najisi kwa taratibu za kiibada, naye akakaribia sadaka takatifu zile Waisraeli wanazoweka wakfu kwa \nd Bwana\nd*, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na uso wangu. Mimi ndimi \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p