\v=8 \v~=Kamwe asile nyama ya mzoga wala iliyoraruliwa na wanyama pori, naye akatiwa unajisi kwa hilo. Mimi ndimi \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p