\p \v=9 \v~=“ ‘Makuhani lazima washike maagizo yangu ili wasiwe na hatia, wakafa kwa kuyadharau. Mimi ndimi \nd Bwana\nd* ninayewafanya watakatifu. \¬v \¬p