\v=11 \v~=Naye atauinua huo mganda mbele za \nd Bwana\nd* ili ukubaliwe kwa niaba yenu; kuhani ataupunga siku inayofuata Sabato. \¬v