\v=12 \v~=Siku hiyo mtakapoinua huo mganda, lazima mtoe kwa \nd Bwana\nd* dhabihu ya kuteketezwa kwa moto ya mwana-kondoo wa mwaka mmoja asiye na dosari, \¬v