\v=13 \v~=pamoja na sadaka yake ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa\f + \fr 23:13 \ft Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo mbili.\f* za unga laini uliochanganywa na mafuta, sadaka iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa kuteketezwa kwa moto, harufu nzuri ya kupendeza, na sadaka yake ya kinywaji ya robo ya hini\f + \fr 23:13 \ft Robo ya hini ni sawa na lita moja.\f* ya divai. \¬v