\v=16 \v~=Mtahesabu siku hamsini mpaka siku inayofuata Sabato ya saba, ndipo mtatoa sadaka ya nafaka mpya kwa \nd Bwana\nd*. \¬v