\v=20 \v~=Kuhani atawainua hao wana-kondoo wawili mbele za \nd Bwana\nd* kuwa sadaka ya kuinuliwa, pamoja na mkate wa malimbuko. Ni sadaka takatifu kwa \nd Bwana\nd* kwa ajili ya kuhani. \¬v