\p \v=22 \v~=“ ‘Mnapovuna mavuno ya ardhi yenu, msivune hadi mpakani mwa shamba lenu, au kukusanya masazo ya mavuno yenu. Hayo utayaacha kwa ajili ya maskini na mgeni. Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wenu.’ ” \¬v \¬p