\v=27 \v~=“Siku ya kumi ya mwezi huu wa saba ni Siku ya Upatanisho. Mtafanya kusanyiko takatifu, mfunge, nanyi mtoe sadaka kwa \nd Bwana\nd* ya kuteketezwa kwa moto. \¬v