\v=36 \v~=Kwa siku saba toeni sadaka kwa \nd Bwana\nd* za kuteketezwa kwa moto. Kwenye siku ya nane fanyeni kusanyiko takatifu, na mtoe sadaka kwa \nd Bwana\nd* ya kuteketezwa kwa moto. Ni kusanyiko la mwisho, msifanye kazi zenu za kawaida. \¬v \¬p