\p \v=37 \v~=(“ ‘Hizi ni sikukuu za \nd Bwana\nd* zilizoamriwa, ambazo mtazitangaza kuwa makusanyiko matakatifu kwa kuleta sadaka kwa \nd Bwana\nd* za kuteketeza kwa moto: sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka, dhabihu na sadaka za vinywaji zitahitajika kila siku. \¬v