\v=38 \v~=Sadaka hizi ni nyongeza ya zile mnazozitoa katika Sabato za \nd Bwana\nd*, na pia ni nyongeza ya matoleo yenu ya chochote mlichoweka nadhiri, na sadaka zenu zote za hiari mnazozitoa kwa \nd Bwana\nd*.) \¬v \¬p