\p \v=39 \v~=“ ‘Basi kuanzia siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba, baada ya kuvuna mazao yote ya nchi, mtaadhimisha sikukuu kwa \nd Bwana\nd* kwa siku saba; siku ya kwanza ni mapumziko, pia siku ya nane ni mapumziko. \¬v