\v=41 \v~=Mtaadhimisha siku hii kuwa sikukuu kwa \nd Bwana\nd* kwa siku saba kila mwaka. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo; iadhimisheni mwezi wa saba. \¬v