\v=6 \v~=Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa kwanza, Sikukuu ya \nd Bwana\nd* ya Mikate Isiyotiwa Chachu huanza; kwa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu. \¬v