\v=8 \v~=Kwa siku saba mtamletea \nd Bwana\nd* sadaka ya kuteketezwa kwa moto. Kwenye siku hiyo ya saba mtafanya kusanyiko takatifu, na msifanye kazi zenu za kawaida.’ ” \¬v \¬p