\v=11 \v~=Huyu mwana wa mwanamke Mwisraeli akalikufuru Jina la \nd Bwana\nd* kwa kulaani; kwa hiyo wakamleta kwa Mose. (Jina la mama yake aliitwa Shelomithi binti wa Dibri, wa kabila la Dani.) \¬v