\v=16 \v~=yeyote atakayekufuru Jina la \nd Bwana\nd* ni lazima auawe. Kusanyiko lote litampiga kwa mawe. Iwe ni mgeni au mzawa, atakapolikufuru Jina la \nd Bwana\nd*, ni lazima auawe. \¬v \¬p