\p \v=23 \v~=Kisha Mose akasema na Waisraeli, nao wakamchukua yule aliyekufuru nje ya kambi na kumpiga mawe. Waisraeli wakafanya kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza Mose. \¬v \¬p \¬c