\p \v=5 \v~=“Chukua unga laini, uoke mikate kumi na miwili, ukitumia sehemu mbili za kumi za efa\f + \fr 24:5 \ft Sehemu mbili za kumi za efa ni sawa na kilo mbili.\f* za unga kwa kila mkate. \¬v