\v=7 \v~=Kando ya kila mstari, weka uvumba safi kama sehemu ya kumbukumbu ili kuwakilisha mikate kuwa sadaka iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa kuteketezwa kwa moto. \¬v