\v=38 \v~=Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wako, niliyekuleta kutoka nchi ya Misri nikupe nchi ya Kanaani, nami niwe Mungu wako. \¬v \¬p