\v=4 \v~=Lakini mwaka wa saba nchi lazima iwe na Sabato ya mapumziko, Sabato kwa \nd Bwana\nd*. Msipande mbegu katika mashamba yenu, wala msikate mizabibu yenu matawi. \¬v