\v=55 \v~=kwa maana Waisraeli ni mali yangu kama watumishi. Wao ni watumishi wangu, niliowatoa kutoka nchi ya Misri. Mimi ndimi \nd Bwana\nd* Mungu wako. \¬v \¬p \¬c