\p \v=46 \v~=Hizi ndizo amri, sheria na pia masharti ambazo \nd Bwana\nd* alifanya kati yake mwenyewe na Waisraeli katika Mlima Sinai kupitia kwa Mose. \¬v \¬p \¬c