\p \v=14 \v~=“ ‘Kama mtu ataweka nyumba yake wakfu kama kitu kitakatifu kwa \nd Bwana\nd*, kuhani ataamua ubora wa nyumba hiyo, kama ni nzuri au mbaya. Thamani yoyote kuhani atakayoweka, basi hivyo ndivyo itakavyokuwa. \¬v