\p \v=16 \v~=“ ‘Kama mtu anaweka sehemu ya ardhi ya jamaa yake wakfu kwa \nd Bwana\nd*, thamani yake itawekwa kulingana na kiasi cha mbegu inayohitajiwa kupandwa katika ardhi hiyo, yaani homeri\f + \fr 27:16 \ft Homeri moja ni sawa na efa 10, ambazo ni sawa na kilo 100.\f* moja ya mbegu za shayiri kwa shekeli hamsini za fedha. \¬v