\v=21 \v~=Shamba hilo litakapoachiwa mwaka wa Yubile, litakuwa takatifu, kama shamba lililotolewa kwa \nd Bwana\nd*, nalo litakuwa mali ya makuhani. \¬v \¬p