\p \v=26 \v~=“ ‘Lakini hakuna mtu atakayeweka wakfu mzaliwa wa kwanza wa mnyama, kwa kuwa mzaliwa wa kwanza tayari ni mali ya \nd Bwana\nd*; awe ngʼombe au kondoo, ni wa \nd Bwana\nd*. \¬v