\p \v=28 \v~=“ ‘Lakini chochote kile mtu alicho nacho na akakiweka wakfu\f + \fr 27:28 \fq Akakiweka wakfu \ft ina maana ya kumpa Mungu kabisa, daima, bila kurudiwa.\f* kwa \nd Bwana\nd*, iwe ni binadamu, au mnyama, au ardhi ya jamaa, hakiwezi kuuzwa au kukombolewa. Chochote kilichowekwa wakfu ni kitakatifu sana kwa \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p