\p \v=30 \v~=“ ‘Zaka ya kila kitu kutoka shambani, iwe ni nafaka kutoka kwa ardhi, au tunda kutoka kwa miti, ni mali ya \nd Bwana\nd*; ni takatifu kwa \nd Bwana\nd*. \¬v