\v=5 \v~=Kama ni mtu mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini,\f + \fr 27:5 \ft Shekeli 20 za fedha ni sawa na gramu 240.\f* na mwanamke shekeli kumi.\f + \fr 27:5 \ft Shekeli 10 za fedha ni sawa na gramu 120.\f* \¬v