\v=6 \v~=Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu\f + \fr 27:6 \ft Shekeli tatu za fedha ni sawa na gramu 36.\f* za fedha. \¬v