\v=7 \v~=Kama ni mtu mwenye miaka sitini na zaidi, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli kumi na tano,\f + \fr 27:7 \ft Shekeli 15 za fedha ni sawa na gramu 180.\f* na mwanamke shekeli kumi. \¬v