\p \v=9 \v~=“ ‘Kama kile mtu alichokiwekea nadhiri ni mnyama anayekubalika kama sadaka kwa \nd Bwana\nd*, mnyama wa namna hiyo aliyetolewa kwa \nd Bwana\nd* anakuwa mtakatifu. \¬v