\v=10 \v~=Sadaka ya nafaka iliyobaki ni ya Aroni na wanawe; ni sehemu ya sadaka iliyo takatifu sana ya sadaka iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto. \¬v \¬p