\p \v=11 \v~=“ ‘Kila sadaka ya nafaka unayoleta kwa \nd Bwana\nd* ni lazima ifanywe bila kutiwa chachu, kwa kuwa huna ruhusa kuchoma chachu yoyote au asali katika sadaka itolewayo kwa \nd Bwana\nd* kwa moto. \¬v