\v=12 \v~=Unaweza kuzileta kwa \nd Bwana\nd* kama sadaka ya malimbuko, lakini haziwezi kutolewa juu ya madhabahu kama harufu nzuri ya kupendeza. \¬v