\p \v=14 \v~=“ ‘Kama ukileta malimbuko ya sadaka ya nafaka kwa \nd Bwana\nd*, utatoa masuke yaliyopondwa ya nafaka mpya iliyookwa kwa moto. \¬v