\v=3 \v~=Sadaka ya nafaka iliyobaki ni ya Aroni na wanawe, ni sehemu ya sadaka iliyo takatifu sana iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto. \¬v \¬p