\v=16 \v~=Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama chakula, sadaka iliyotolewa kwa moto, harufu nzuri. Mafuta yote ya mnyama ni ya \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p