\v=9 \v~=Kutoka kwenye hiyo sadaka ya amani ataleta dhabihu iliyotolewa kwa \nd Bwana\nd* kwa moto: mafuta yake, mafuta yote ya mkia uliokatwa karibu na uti wa mgongo, mafuta yote yanayofunika sehemu za ndani au yale yanayounganika nazo, \¬v