\p \v=13 \v~=“ ‘Ikiwa jumuiya yote ya Israeli watatenda dhambi pasipo kukusudia na kufanya lile lililokatazwa katika amri yoyote ya \nd Bwana\nd*, hata kama jumuiya haifahamu juu ya jambo hilo, wana hatia. \¬v