\v=15 \v~=Wazee wa jumuiya wataweka mikono yao juu ya kichwa cha huyo fahali aliye mbele za \nd Bwana\nd*, naye fahali atachinjwa mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v